Hawa ni wananchi wapo bonde la Jangwani karibu na club ya Yanga. Wengine wana hati wengine wana ofa.
Wote hao maeneo yao yanatwaliwa kwa ajili ya mradi wa uendelezaji wa Bonde hilo. Tafadhali hawa watu wenye umiliki wa ardhi kihalali/ kisheria wasichanganywe na squatters/ wavamizi na...