fidia kwa wanaobomolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    Pre GE2025 Mnaorekebisha kauli za Rais na kusema amenukuliwa vibaya safari hii mmechelewa sana, wanaostahili walipwe fidia zao

    Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais kanukuliwa vibaya utadhani wao ndo wana hatimiliki ya uelewa. Pia soma Rais Samia: Mnaotudai fidia...
Back
Top Bottom