Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais kanukuliwa vibaya utadhani wao ndo wana hatimiliki ya uelewa.
Pia soma Rais Samia: Mnaotudai fidia...