fikiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fikiria mara 2 au zaidi kuhusu elimu kisha chukua hatua

    Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa milele. Pia, hakuna kozi inayoitwa 'inayofaa sokoni'. Hiyo haipo. Kitu cha pekee kinachofaa sokoni ni...
  2. T

    Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  3. Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  4. Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  5. STORY FUPI: Fikiria kwanza Kabla ya kujaji

    SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji. Kufika katika lile jingo la...
  6. M

    Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

    Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia...
  7. Fikiria kila mtu ni msaliti ila hajagundulika tu,hii itakusaidia kupunguza mshtuko endapo mambo yakienda vibaya

    Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu. Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
  8. Rais Fikiria Kumteua Awadhi Kuwa Balozi Palestina

    Mtu kuweza ku-perform vizuri ni pale unapompa kazi inayoendana na hulka yake. Maadam afande Awadh kila alipopita inaonekana ni mtu mwenye hulka ya kupenda kupigana, hulka ya kutotaka kutumia akili wala weledi, bali nguvu, huyu anaweza kuitendea vema hulka yake akiishi sehemu ambayo kuna...
  9. Huyu ni mmoja tu; hebu fikiria Watanzania 10 wangefanya hivi ni wawekezaji au wafanyabishara wangapi tungewavuta kuja hapa nchini?

    Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana James ambayo kwa namna moja imenivutia sana na kunifanya nije hapa kuianzishia uzi, pengine tukapata...
  10. Fikiria kwa undani wimbo wa old skul ya simba Uswazi Take away remix, bro that man was (and still is the free thinker)

    Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
  11. Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  12. Fikiria umeme hamna na maji hamna!

    Kama ingekuwa sehemu za watu wawajibikaji kuna watu wangeondolewa kwenye nafasi walizonanzo maana hawatoshi. Kweli na mvua hizi lakini maji hayatoki? Nani yuko responsible?
  13. Hukumu hii ingetolewa nchi za Kiarabu ingekuwaje?

    Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
  14. W

    Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  15. R

    Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

    Ina maana kuwa nikienda mwezini na chombo chenye speed inayokaribia na speed of light (you can not attain the speed of light anyway), basi sitazeeka maana time itarudi nyuma! Ageing process will slow down. sasa kwanini tusiwe na mashine yenye speed kubwa kiasi kwamba time will slow down na...
  16. Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

    Hello wanaJF, Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo. Ona hizi facts za kisayansi 👉...
  17. We mwenyewe hembu fikiria

    1. Una miaka chini ya 35 2. Umeoa mke mzuri na mnapendana 3. Mna Afya njema 4. Mna usafiri wenu wa kuwafikiaha hapa na pale 5. Mnaishi kwenu hamdaiwi kodi 6. Sio matajiri ila pesa ya kubadilisha mboga na majukumu ya kijamii mnapata 7. Hamna ugonvi na majirani. Sasa hapa ukichepuka...
  18. Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  19. Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…