fikirishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mangi Meno

    Hoja fikirishi: Nini kilitokea kabla ya Mwanzo 1:2

    Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza Mwanzo 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Katika mstari huu kuna vitu vya kujiuliza ambavyo Natumai wajuzi wa haya mambo mtanisaidia? 1. Kwanini nchi...
  2. Subira the princess

    Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  3. Manyanza

    LGE2024 Fikira fikirishi: Maneno haya ya Tundu Lissu yana maana gani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
  4. Brojust

    SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
  5. Idugunde

    Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  6. Equation x

    Swali fikirishi kwenye ajira

    Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli? Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?
  7. Kamanda Asiyechoka

    Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

    Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya. Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari? Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
  8. Raphael Alloyce

    Masuala fikirishi katika bara la Afrika

    "TUNAONA TAABU SANA KUUNGANA KUMKABILI MWENYE NGUVU. WENYE NGUVU WANAUNGANA KUMKABILI MNYONGE," Mwl. Nyerere Kama ningekuwepo wakati wa Mwalimu Nyerere, ningemuuliza swali hili: Ni rahisi kwa kiasi gani kwa Mwafrika kumwamini Mwafrika mwenzake katika dola, ili waweze kuungana? Kwa sababu...
  9. N

    Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

    Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa? Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
  10. I am Groot

    SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua? 🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
  11. GoldDhahabu

    Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  12. D

    Hii Clip ni fikirishi sana

    Kuna uwezekano mkubwa kuwa Kijana wetu ameshavurugwa na Bwana Ali Msomali
  13. LIKUD

    Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi. Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
  14. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  15. GoldDhahabu

    Swali fikirishi: Kuna ubaya endapo baadhi ya nafasi Serikalini zitajazwa na wageni?

    Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi. Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
  16. Crocodiletooth

    Kibonzo fikirishi cha leo!

    Inafikirisha mno!
  17. Heart Wood.

    Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  18. MIXOLOGIST

    Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  19. Congo

    Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  20. 44mg44

    Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu! Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force? Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande...
Back
Top Bottom