Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake
Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni
Leo kwa mara nyingine nimeweza kupata tena nimefarijika mno maana ni wimbo nilioutafuta kwa muda mrefu
Nikaona sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.