Picha: Gazeti la Mtanzania
UTANGULIZI.
Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia pia ni kitovu cha kuhamasisha uwajibikaji na utawala bora. Katika mataifa ya Ulaya na Uarabuni...