Tanzania ya kesho haitajijenga yenyewe – inajengwa na sisi, vijana wa leo. Katika dunia inayobadilika kwa kasi, hatuwezi kuendelea kuwa watazamaji wa hatima yetu. Lazima tuamke, tutafakari, na kuchukua hatua sasa!
Kwa Nini Fikra Huru ni Muhimu?
Fikra huru ni silaha kubwa dhidi ya udanganyifu...