Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani.
1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...