Kwenye pita pita zangu mtandaoni, Mjanja M1 nikakutana na post hii kutoka kwa 50 cent akiipigia chapuo Movie aliyoigiza na Mel Gibson.
Mjanja M1 nikawasha Smart Tv yangu na kui-play online.
Lahaullah Walakuwata! Movie ni mbovu sijawahi ona, yani hata sikuimalizia nikai-cancel na kuchagua...