Uvumi Unaenea Kuhusu ni nani anayeweza Kuchukua Nafasi ya Black Panther, huku kukiwa na tetesi zinaenea Hollywood kuhusu mustakabali wa filamu za Black Panther.
Ingawa Marvel Studios haijatoa taarifa yoyote rasmi, watu wa ndani wanapendekeza kwamba mabadiliko katika kurudisha uhusika mpya wa...
John Amos, aliyekuwa nyota wa filamu nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Amos ameaga dunia tarehe 21 Agosti huko Los Angeles. Msemaji wa Amos, Belinda Foster, amethibitisha habari za kifo chake jana Jumanne, Oktoba 1, 2024.
John Amos alikuwa mwigizaji maarufu wa...
Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93.
Imeelezwa kuwa Earl Jones ambaye pia alisifika kwa kuingiza sauti katika filamu kadhaa ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.