filamu za hollywood

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Next Black Panther (Parody)

    Uvumi Unaenea Kuhusu ni nani anayeweza Kuchukua Nafasi ya Black Panther, huku kukiwa na tetesi zinaenea Hollywood kuhusu mustakabali wa filamu za Black Panther. Ingawa Marvel Studios haijatoa taarifa yoyote rasmi, watu wa ndani wanapendekeza kwamba mabadiliko katika kurudisha uhusika mpya wa...
  2. TANZIA Nyota Mkongwe wa Filamu za Hollywood, John Amos afariki dunia akiwa na umri wa miaka 84

    John Amos, aliyekuwa nyota wa filamu nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Amos ameaga dunia tarehe 21 Agosti huko Los Angeles. Msemaji wa Amos, Belinda Foster, amethibitisha habari za kifo chake jana Jumanne, Oktoba 1, 2024. John Amos alikuwa mwigizaji maarufu wa...
  3. TANZIA Mkongwe wa filamu za Hollywood, James Earl Jones afariki akiwa na Umri wa Miaka 93

    Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93. Imeelezwa kuwa Earl Jones ambaye pia alisifika kwa kuingiza sauti katika filamu kadhaa ikiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…