Kuch Kuch Hota Hai ni filamu iliyotolewa mwaka 1998, iliyoongozwa na Karan Johar ,imeigizwa na mastaa kadhaa kama vile Shah Rukh Khan aliyeigiza kama Rahul Khana , Kajol (Anjali Sharma) na Rani Mukerji (Tina Malhotra)na Salman Khan (Aman Mehra).
Filamu hii inahusu hadithi ya mapenzi na...