Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos.
Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha lakini nashindwa, nina miaka kama minne sasa naangalia karibia kila siku.
Naombeni ushauri nifanyaje...