Kimsingi nilikuwa nasubiri tafsiri ya Online Data services, na sasa bill ya Finance Act 2024 imetoa tafsiri ya kitu hicho ambacho bajeti ya 2024/25 ilipendekeza kumegwa kodi
Kwa tafsiri iliyotolewa ni kama platforms zote zinazochukua data za wanaotembelea platforms hizo watalipa kodi hiyo...