financial services

  1. Stephen Ngalya Chelu

    Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

    Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30...
  2. Akhi

    Tour in Zanzibar

    Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na...
  3. Moniel

    Interview ya kazi ya Utumishi wa Mahakama imetoka?

    Habari zenu wakuu! Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application), Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu...
  4. 200K

    Nunua Vitu kwa masikini kwa bei ya Haki

    Barabarani unakutana na mwanamke mchuuzi maskini mwenye mtoto mgongoni,Unashusha kioo cha gari lako na kumuuuliza kwa sauti ya kijeshi "UNAUZA BEI GANI HIVYO VITUNGUU NA HIZO NDIZI"? Muuzaji maskini kwa upole anakujibu "shilingi elfu moja kwa kichane cha ndizi na shilingi elfu moja kwa fungu...
  5. Masokotz

    Youth Friendly Financial services

    Access to finance and financial education is still in issues in most developing countries,Tanzania included.The majority of the society has limited access to financial education and financial services which limits them in many aspects of their life. As a country,Tanzania needs to start...
  6. Ngareroo

    Financial Services ukinipea ntawezana...

    FINANCIAL SERVICES: Ngareroo pole nimekuja ghafla. NGAREROO:Usijali. FINANCIAL SERVICES: Ni vile wewe hukua umenibamba. NGAREROO:Aah Financial services pia kwangu ni msoo kwanza vile ulituosha kwa ile comment ako JF ni soo. FINANCIAL SERVICES:Nakupenda manzee we hukua m'humble,venye ukiongea...
  7. M

    What your Banker must give you monthly

    Taxing services has never been simple. For example, applying value-added tax (VAT) on financial services has been a practical nightmare. And when services and transactions are provided electronically, the problem becomes even worse. Think of transfer of your money from your bank account to your...
  8. princemikazo

    Swali la Kizushi kwa Machalii.

    O..!,,Oi Inakuaje Wakubwa.?Ok ngoja niende moja kwa moja kwenye swali...Et Wanaume wenzangu Ukimsalimia dem/Madem Na unaona kabisa wamekusikia na wamekausha..Kuwa tu Mkweli Rohoni huwa unaongea vitu gani??? @ChaliiYaKijengeJuu.
  9. princemikazo

    Nitapiga mtu nimpoteze aseee.!!

    "Hivi vibishoo vis*nge sana,Eti vinatembea vimebeba vibegi vinaweka na nywele dawa,vimenyoa viduku,Headphone kila saa masikioni!Simbilisi kabisa..!!Eti swagga!?alaf vinaibuka Nyumbani kuvizia wadogo zetu Qumamake yani nikikashika nanyoa kiduku asee Tena kwa bati,Ndorobo kabisa,Kiruu!!"Hiyo ni...
  10. princemikazo

    Ushauri: Kaka angu anateseka.

    Machalii wa humu Eroo Suphai, Ma mamiloo Takwenyaa,, Okay ngoja nichumpe mokomoko kwenye point, Nna kaka angu nnaemfata kabisa yeye ni wa pili kutoka mwisho kuzaliwa uku mimi nikiwa ndo wa mwisho.... Huyu broo ana mke ambae kamuoa mwaka jana tu apa mwezi kama wa9 ivi... Mkewe ni mpare wa Same...
  11. princemikazo

    Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

    Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza. 10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3 9: Jidenna,Nigeria billion 2.3 8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu) 7...
Back
Top Bottom