fiston mayele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Yule Jonathan Sowah ni zaidi ya Fiston Mayele

    Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
  2. OMOYOGWANE

    Pyramid yaponea chupuchupu kupoteza mechi dhidi ya APR, ashukuriwe Mayele

    Kama sio Mayele leo mwarabu alikuwa anapigika kigali Kweli mpira unamaajabu yake wakati huo Azam akitoa sare na Pamba jiji futi boli inamaajabu sana
  3. Labani og

    Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

    Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4...
  4. OMOYOGWANE

    Tetesi: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

    Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs. Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya...
  5. Mributz

    Tetesi: Mayele kutua Simba muda wowote, asante Boss

    TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC, ✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Paulo News
  6. Pdidy

    Mayele anaongoza kwa magoli Misri, leo kawapiga Al Ahly goli moja

    Hata atuoneshe dharau, dogo anaupiga mwingi mbaya. Kila mechi anapasua watu. Leo kapiga kamoja Al Ahly wakishindaa 3 kwa 2 dhidi ya Pyramids. Akiwa na magoli 14 mwanaume mwamba wa Congo anapekenyua kiatu cha Misri muda si mrefu. Naamini Pyramids watamheshimu sana Eng. Hersi kama sio kumjengea...
  7. GENTAMYCINE

    Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  8. GENTAMYCINE

    Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  9. Teko Modise

    Nimependa hili jibu murua la Fiston Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere!!

    Unampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
  10. Dr Matola PhD

    Nimepita Instagram account ya Fiston Mayele kuna kitu sikielewi naomba nielimishwe

    Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo. Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja. Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
  11. GENTAMYCINE

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  12. Chizi Maarifa

    Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
  13. Mtini

    Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

  14. Teko Modise

    Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  15. O

    Edo Kumwembe: Kwaheri kwasasa Fiston Mayele

    ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022. Hakuwa jina maarufu miongoni mwetu. Baada ya virusi vya corona kuvamia katika kambi ya Yanga na kisha...
  16. BARD AI

    Yanga yavunja ukimya kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
  18. Unasemeje

    Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  19. Dr Matola PhD

    FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

    Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
  20. SAYVILLE

    Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda. Ukweli ni kuwa Mayele pamoja na Aziz Ki ni baadhi ya wachezaji aliokuwa anawavumilia tu kutokana na kuwa ni vipenzi vya...
Back
Top Bottom