Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu
Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka...
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.
Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine...
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....
Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana...
Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.
Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.
Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...
1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini.
Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi...
Leo nauliza swali fupi tu
CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina?
Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi???
Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
Members,
Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame)
Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela!
Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga.
Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje...
Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua...
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.
Lakini...
1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.
2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa kwa miradi ya Rea, lakini ameanza kuwapiga fitna mawaziri wenzake ili waonekane hawafanyi kazi.
Mfano...
Hii ilifanyika 2021
The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year.
Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays...
Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.
Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.
Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.