Juma kahtib a.k.a Nugaz alifanyiwa fitna na msukule hadi akapoteza kazi pale utopoloni lakini cha kushangaza majina ya wahamasishaji bora kwenye tuzo za TFF yametoka lakini Jina la Nugaz halipo kwenye list.
Unless ile data ya kwamba mwaka jana utopwenga ndiyo waliongoza kwa kuingiz mashabiki...