Habari wakuu,
Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year
Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka.
Asanteni.