fizi

Fizi is a territory in the south of Sud-Kivu Province, Democratic Republic of the Congo, bordering the South Kivu territories of Uvira, Mwenga and Shabunda to the north, Lake Tanganyika or Tanzania in the east, and the provinces Katanga in the south and Maniema in the west.
The predominant language in the territory is Bembe language (Ibembe) and Kiswahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JF Member

    Ukifika kileleni mishipa ya damu yote inafunguka. Damu unaweza ikatokea kwenye fizi ama kwenye kidonda.

    Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu. Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye fizi, hivyo hivyo Ukifika ama kufikishwa kileleni lazima utokwe na damu kwenye fizi. Na kidonda hasa...
  2. LIKUD

    Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

    Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla. Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni...
  3. BARD AI

    Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
Back
Top Bottom