Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano.
Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia.
Wamefanya hivi baada ya kukosa wanataaluma wenye uwezo na weledi wa kufundisha kozi husika ijapokua...
Katikati ya mwezi wa tano mwaka 2020, dunia ilikuwa katika sintofahamu kubwa iliyoletwa kutokana na janga la corona. Ni kipindi ambacho ratiba pamoja mienendo mingi ya wanaaajamii duniani kote ilipaswa kubadilika ili kuendana na nyakati zile.
Watu walipaswa kukaa mbali mbali(angalau mita moja)...
Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli.
Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili.
Fizikia na hisabati kwa ujumla...
Naitwa Mwl. Paulo Yamola Masanja
Ni mhitimu wa shahada ya Ualimu wa sayansi katika masomo ya Physics na Chemistry.
Lengo kuu ni kuomba nafasi ya kazi ya kufundisha kama Mwalimu katika sekondari yenye uhitaji.
Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, napatikana kupitia 0767582599
Email...
Hello wanajamii,
Waweza kujiuliza maputo yana siri gani mpaka kupelekea watoto kuridhika na kufarijika sana pale wanapopata puto la kuchezea.
Basi nitawaeleza siri ya puto.
Kwanza yakupasa kujua ya kwamba kwenye ulimwengu ambao tumejikuta tunaishi kuna force kuu nne ambazo zinafanya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.