flat tv

  1. M

    Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  2. Wababa13

    Nifanyaje ili Flash yenye ukubwa wa 64 GB iweze kusoma kwenye Flat TV tena (Hisense Smart TV)?

    Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
  3. L

    Pata flat tv kwa 4900

    Huko France kuna punguzo kubwa la flat tv, yaani bei ni euro 2 sawa na 4900 pesa za Kitanzania.Flat tv aina ya Samsung inchi 65. Hapa Bongo bila ya zaidi ya milioni 3 hupati
  4. Ibrahim daud

    INAUZWA Flat TV 24" ouling

    Ouling 24" 180k Dsm tz 0718909429
  5. M

    Msaada flat TV ya LG

    Wakuu Nina TV ya LG ila picha haionyeshi vizuri, inakuwa na Blue iliyozidi kiasi haionekani vizuri,,
  6. Nyalikanho

    Kwanini flash 64gb,128gb + hazisomi kwenye flat TV na deki nyingi?

    Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu? Note: Flash ambazo ni ORIGINAL. Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma. Mwenye kujua kiundani...
Back
Top Bottom