VIJANA WA CHADEMA AMUENI TUMALIZANE NA JAMBO MOJA KWANZA NDIO TUHAMIE LA PILI
Na Thadei Ole Mushi
Kwa miezi sita vijana wa Chadema wamebeba agenda tatu ambazo hawazifikishi mwisho. Walianza na katiba mpya wakaacha wakaelekea uelekeo wa Dubai kwenye hoja ya Bandari naona toka juzi jioni...