floyd mayweather

  1. The Mongolian Savage

    Floyd Mayweather aitembelea tena Israel

    Yeeeerrrrreeeeh Mwana masumbwi mmarekan mstaafu Floyd Mayweather aitembelea tena taifa teule (Israel) kwa mara ya nne tangu October 07 2023. Safari yake hii ya nne kawatembelea wanajeshi wateule (wayahudi) waliojeruhiwa vitani kwenye rehab. Floyd Mayweather akiwa kwenye rehab alizungukwa na...
  2. Hance Mtanashati

    Happy Birthday Floyd Mayweather

    Leo ni kumbukumbu ya mfanano wa siku ya kuzaliwa ya bondia tajiri zaidi duniani ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather Jr wengi wanapenda kumuita The Money May. Floyd Jr baba yake mzazi anaitwa Floyd Mayweather Sr ambaye alikuwa pia bondia na mama yake Deborah Sinclair alikuwa ni mhasibu...
  3. Analogia Malenga

    Floyd Mayweather asema "Nasimama na Israel"

    Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa...
  4. Hance Mtanashati

    Mashabiki hata wale wasiompenda Floyd Mayweather wacharuka baada ya kushindanishwa na Terence Crawford

    Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior . Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu kumlinganisha Floyd na Terence eti baadhi yao wana amini Terence...
  5. Hance Mtanashati

    Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

    Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana. Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
  6. JanguKamaJangu

    Floyd 'Money' Mayweather anunua cheni yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.3

    Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46. Cheni hiyo ameinunua kwa Dola Milioni 1 ikiwa ni zaidi ya Tsh. Bilioni 2.3 ina uzito wa kilo 2.6 imeundwa...
  7. Hance Mtanashati

    Ronaldo aamua kuyafuata maneno ya Floyd Mayweather.

    Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba amefulia kwa kitendo cha yeye kucheza exhibition fights na kuacha kupigana na real boxers wanaotrend kwa...
  8. BARD AI

    Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

    Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan. Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
  9. JanguKamaJangu

    Bondia Floyd Mayweather kurejea ulingoni Mei 14, 2022

    Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai. Mayweather atapigana na mpinzani huyo ambaye alishinda mapambano ya kulipwa 18 kati ya 19 aliyocheza alipokuwa akipigana...
  10. Mzee makoti

    Floyd Mayweather anunua jumba la thamani ya billion 46.14

    Mayweather, ambaye ni promota wa ngumi na bondia wa zamani, amenunua jumba hilo katika kisiwa cha Palm Island na lina vyumba tisa vya kulala na mabafu 10. Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather, ambaye amejipachika jina la "Money (fedha)", amenunua jumba la kifahari lililoko kisiwa cha Palm...
  11. Linguistic

    Pambano la Mayweather vs. Logan

    Wakuu, Leo alfajili kulikuwa pambano la Mayweather na Logan limechezwa leo kwa idadi ya round 8, na hakukuwa na mshindi, ni kama ilikuwa ni exhibition match tu. Makubaliano ya pambano lao ilikuwa round za dkk 3-3, hakukuwa na mshindi anaetangazwa, pambano lao halikuwa na judges. Na Mayweather...
  12. Pekejeng

    Kama Mwaka 2021 ukianza kwa Logan Paul kumshinda Floyd Mayweather Itabidi nikaishi dunia nyingine

    Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana. Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya mapambano yake nimeona yuko vizuri ila ningumu kuamini kama anaweza tunishiana msuli na FM.
  13. FRANC THE GREAT

    Coming Out of Retirement: Floyd Mayweather kurudi ulingoni 2020!

    Floyd Mayweather kurudi ulingoni mwakani 2020 kwa mujibu wa Instagram yake! Mayweather announced on Instagram he will pull on the gloves again, with UFC president Dana White then taking to Twitter to share the news hinting at possible switch to UFC. Mayweather's post was then reposted on...
  14. IamJackReacher

    Bilionea wa China Jack Ma kupambana kimasumbwi na bondia Floyd Mayweather Jr

    Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd Mayweather Jr.! Naombea hii "bout" iwe ya ukweli na vile vile pesa zitakazo patikana ziende kwenye...
Back
Top Bottom