focac

The Forum on China–Africa Cooperation (FOCAC) simplified Chinese: 中非合作论坛; traditional Chinese: 中非合作論壇; pinyin: Zhōng Fēi hézuò lùntán; French: Forum sur la coopération sino-africaine) is an official forum between the People's Republic of China and all states in Africa (with the exception of Eswatini). There have been three summits held to date, with the most recent having occurred from September 3–4, 2018 in Beijing, China. The first summit was held November 2006, also in Beijing.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoyo Zhou

    Ziara ya Waziri Mkuu wa China yaonyesha uungaji mkono wa China kwa ukuaji wa Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria. Ziara hiyo inadumisha mwendelezo wa desturi ya mawaziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka nje ya nchi...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  3. ryan riz

    Habari hii ya BBC kwa viongozi wa Afrika imejaa maneno ya dharau, kebehi kisa viongozi wameenda kwa wingi China

    Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii. Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri huu unaondoa shauku ya vitu mahsusi vya kufuatilia katika mkutano huo kiasi kwamba mijadala mingi...
  4. J

    Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024. Pia soma: Je, ni kwa jinsi...
  5. Yoyo Zhou

    Karakana ya Luban yathibitisha ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika katika mafunzo ya ufundi stadi

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano ikiwemo FOCAC, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya...
  6. L

    Fursa mpya zinaonekana katika ushirikiano wa kuvuka mpaka wa BRI wakati mkutano wa FOCAC ukikaribia

    Ushirikiano kati ya China na Afrika, ambao masuala ya uchumi na biashara ndio kiini chake, utaendelea kuwa wa kina zaidi chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) la China, wakati pande hizo mbili zikiwa tayari kukumbatia mtazamo wa pamoja wa kujenga jamii ya ngazi ya juu ya China na...
  7. L

    Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
  8. L

    Mkutano wa FOCAC kuanzisha ngazi mpya ya uhusiano kati ya China na Afrika

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono Kuendeleza mambo ya kisasa na Kujenga Jumuiya ya Juu ya China na Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja.” Kwa...
  9. L

    Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC

    Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika. Kwenye...
  10. L

    Matunda ya FOCAC yawafanya viongozi wa Afrika kuwa na matarajio makubwa na mkutano wa Beijing wa mwaka huu

    Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024, viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika wameonesha kuridhishwa na wamekuwa na imani kubwa juu ya ushirikiano...
  11. N

    Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  12. L

    FOCAC yanyanyua wakulima wa Afrika kimapato na kuondokana na umasikini

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), umemalizika hivi karibuni mjini Senegal, Senegal. Mkutano wa mwaka huu ni muhimu sana kwasababu umeonesha hatua kubwa zilizopigwa katika miongo miwili tangu mkutano wa kwanza ufanyike mjini Beijing mwaka 2000. Wakati ushirikiano...
  13. L

    FOCAC yaweka mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika

    Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika hivi karibuni mjini Dakar, Senegal. Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio makubwa, na kuwa mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika. Ili...
  14. L

    (Mfululizo wa FOCAC Dakar) Fursa Mpya za Ushirikiano kati ya China na Afrika (3): China kusaidia Afrika kufanikisha mabadiliko ya nishati ya kijani

    Mradi wa kuzalisha umeme kwa jua uliowekezwa na Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika nchini Afrika Kusini Katika miaka ya hivi karibuni, athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi katika bara la Afrika zinaongezeka siku hadi siku, na kuwa “mwuaji asiyeonekana” wa kundi la wanyonge. Kwa mujibu wa...
  15. L

    ( Mkutano wa FOCAC Dakar) Fursa Mpya za Ushirikiano kati ya China na Afrika (2): uchumi wa kidigitali watazamiwa kuwa sekta mpya ya kuvutia

    Kampuni ya China Telecom inasaidia utoaji elimu kwenye mtandao wa internet kupitia mikonga ya mawasiliano iliyojenga barani Afrika Hivi sasa, uchumi wa kidigitali umetajwa na nchi nyingi za Afrika kama sekta muhimu ya kufufua uchumi, kutafuta maendeleo ya ubunifu na kuboresha maisha ya watu...
  16. L

    (Mkutano wa FOCAC wa Dakar) Fursa Mpya za Ushirikiano kati ya China na Afrika (1): afya, uchumi wa kidigitali na maendeleo ya kijani

    Mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC ulifanyika tarehe 29 na 30 mjini Dakar, Senegal. Rais Xi Jinping wa China hapa Beijing amehudhuria ufunguzi wa mkutano huo kwa njia ya video na kutoa hotuba akisema, China na Afrika zimetoa mfano wa kuigwa katika...
  17. L

    Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika: Miaka 21 tangu kuanzishwa kwake

    Na Caroline Nassoro Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika. Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
  18. L

    FOCAC yaimarisha ukuaji wa ushirikiano wa kina kati ya China na Tanzania

    Na Caroline Nassoro Mkutano wa mwaka huu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unatarajiwa kufanyika mjini Dakar, Senegal, kuanzia tarehe 29 hadi 30 Novemba, mwaka huu. Kaulimbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu, ni “Kuimarisha Uhusiano wa China na Afrika na Kuboresha...
  19. L

    Juhudi za miaka 100 za CPC zina maana gani kwa nchi za Afrika?

    Baada ya kuwa madarakani kwa miaka sabini na mbili, sasa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kinaongoza nchi ya pili kwa nguvu ya uchumi duniani. Kikao cha 6 cha wajumbe wote cha Kamati Kuu ya 19 ya CPC kilichomalizika hivi karibuni, kimejumuisha jinsi kilivyoiongoza China kupata maendeleo ya...
  20. L

    China yafuata ahadi ya kuongeza uagizaji wa bidhaa kutoka Afrika

    China na nchi za Afrika zimekubaliana kuitisha mkutano wa ngazi ya mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC tarehe 29 hadi 30 mwezi huu mjini Dakar, Senegal. Pande hizo zinafikiria kufikia makubaliano ya kuhimiza zaidi maendeleo ya biashara yaliyo na uwiano na uendelevu...
Back
Top Bottom