Sio poa kabisa Wakuu, leo nimekiona cha Mtemakuni!
Hali ya usafiri usiku huu inazidi kuwa ngumu kuanzia Tabata Relini, ambapo foleni ya magari ni ndefu hadi Barakuda.
Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja.
Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu.
Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari mjini panda mwendokasi.
Vijana wakiwa na nguo za njano reflector watakuwa pale kuwasaidia...
Hii tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa barabara Kubwa mfano ya Mwanza kwenda Musoma, unazuia mabasi na magari yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2.
Kama mnapenda kutumia barabara peke yenu tengenezeni lane za Kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.