Wakuu, hiki kipande cha Moro Road kwenda Mandela Road hadi Buguruni to Bandalili, ule utaratibu wa kuzuia malori asubuhi ungehamia pia jioni, labda kuanzia saa 9 au saa 10 hadi saa 1 au saa 2 jioni ndio yaruhusiwe.
Hii ingesaidia kidogo kupunguza malori hasa katika hizi peak hours, lakini pia...
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.
Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.
Au wakuu mnasemaje?
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
Foleni mlimani City ni kero.
Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.
Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.
Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu...
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS
Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine.
Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.