foleni dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuanzia Morogoro Road hadi Buguruni kuna foleni sana. Serikali fuateni ushauri huu

    Wakuu, hiki kipande cha Moro Road kwenda Mandela Road hadi Buguruni to Bandalili, ule utaratibu wa kuzuia malori asubuhi ungehamia pia jioni, labda kuanzia saa 9 au saa 10 hadi saa 1 au saa 2 jioni ndio yaruhusiwe. Hii ingesaidia kidogo kupunguza malori hasa katika hizi peak hours, lakini pia...
  2. Ili kupunguza msongamano napendekeza iwe marufuku watu wa nyumba moja kutumia gari zaidi ya moja

    Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu. Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake. Au wakuu mnasemaje?
  3. KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  4. KERO Kero foleni Mlimani City, Dar

    Foleni mlimani City ni kero. Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo. Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni. Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu...
  5. Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  6. R

    Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…