fomu kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Kiongozi wa CHADEMA anadai hakutakuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba, ingawa ni wazi atachukua fomu ya kugombea Urais

    Kama sio hadaa na utapeli wa kisiasa kwa wanachama weke ni nini? Maana ni wazi ndugu zangu kwamba, kama yeye kwa ubinafsi wake amepima na kujitathmini kwamba kwa nafasi anayotarajia kugombea atashindwa uchaguzi huo vibaya sana, Yanini sasa kuwaburuza wagombeaji wa nafasi zingine mathalani za...
  2. Pre GE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
  3. Pre GE2025 Nani huamua chama kitoe fomu moja ya mgombea wa Urais?

    Habari wanajamvi, Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…