fomu moja urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Kutoa fomu moja ni dalili ya uoga na kutokukubalika!

    Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za kisaikolojia mtu akisema kuwa, hakuna haja ya kuchapisha fomu nyingi za kuwania Urais au nafasi fulani. Hiyo...
  2. Erythrocyte

    Pre GE2025 Maswa: CHADEMA yafanya Mkutano Mkuu wa Jimbo, hawakusema wanataka fomu 1 tu ya Mgombea wao wa Urais 2025

    Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao. Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025, wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu, yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili...
  3. R

    Pre GE2025 Kutaka ichapishwe Fomu Moja 2025 kwa Mgombea wa CCM, Demokrasia imezingatiwa?

    Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100. Kwa kuwa...
  4. RWANDES

    Pre GE2025 Swali kwa Kinana, lini Rais Samia alipigiwa Kura na wajumbe au amerithi kiti hicho cha urais?

    NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais. Kinana asipotishe umma kwamba desturi ya CCM NI kumwachia rais aliyepo sasa kuendelea na mhula mwingine bila...
  5. Bams

    Pre GE2025 Kuhusu nafasi ya Urais ndani ya CCM: Kinana amedanganya, na kwa vyovyote hana dhamira njema

    Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani hajamaliza vipindi viwili vya Urais wake. Amesema hayo akimlenga Rais wa Sasa. Uwongo wa Kinana upo katika...
  6. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake ======= Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
Back
Top Bottom