fomu ya ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Bodaboda wamchangia Dkt. Tulia fomu ya ubunge Mbeya

    Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo === Leo tarehe 4 Machi, 2025 Umoja wa Madereva wa bodaboda Mbeya Mjini umemwomba Mbunge wa jimbo hilo...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Simiyu: Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga achangiwa Milioni moja na laki tano kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge, fomu ishalipiwa

    Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa ==== Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Mbunge wa Kilombero Abubakar Ulega asema hatochukua fomu ya Ubunge endapo hatakamilisha miundombinu ya barabara mtaa wa Limemo

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo ambayo imekuwa kero Kwa wananchi wa eneo Hilo Mhe. Asenga ameyasema hayo Februari 2,2025 Wilayani...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Kilimanjaro: Baadhi ya wananchi wa jimbo la Siha watangaza kumchukulia fomu ya Ubunge, mbunge wao Godwin Mollel

    Wakuuu, Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Soma pia: Kuelekea 2025 Kilimanjaro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Pwani: Jafo achangiwa fomu ya ubunge na wajumbe Kisarawe

    Wakuu, Wajumbe wamefurahi bana, wajumbe watakuwa wamekunwa kweli kweli mpaka wametema😂😂, yetu macho. Ila wajumbe hawajawahi kuwa watu wazuri😂😂, wanakuchekea mwishoni hutaamini macho yako. ===== Wajumbe wa Mkutano mkuu kutoka kata za Kazimzumbwi na Kiluvya Kisarawe Pwani wameazimia kwa...
  6. J

    Pre GE2025 Ndoto za kada wa CCM kuchua Fomu ya Ubunge 2025 zayeyuka

    Ndoto za kada maarufu wa chama cha mapinduzi CCM)jimbo la moshi mjini za kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kuwania ubunge kupitia jimbo la moshi mjini ,zimeyeyuka kutokana na kuwa chini ya adhabu. Mapema mwaka huu,kada huyo alipewa onyo na chama chake kutokana na kuendesha...
  7. milele amina

    Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  8. K

    Pre GE2025 Shija Shibeshi: Nilinusurika kutekwa wakati narudisha fomu uchaguzi wa 2020 nilipokuwa nagombea Ubunge jimbo la Misungwi

    Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye MABUBA KISENA ili wanipore Fomu yangu ya Ubunge!!Mungu kawapiga UPOFU Wameanza kujitaja! Maoni yangu...
Back
Top Bottom