Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake
Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi?
Ujumbe wake huu hapa
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
Ndugu zangu watanzania,
Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.
Butiku...
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.
Je...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.