fomu ya urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  2. B

    Ndani ya CCM kama Form zitatolewa zaidi ya moja. Je, Samia anaweza kushindanishwa na mwanamke gani?

    SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake. Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno. Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri...
  3. Pre GE2025 Tanga: Bodaboda wamchangia Rais Samia Tsh Milioni 1 kwa ajili ya kuchukua fomu

    Wakuu, Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea ===================== Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. Pre GE2025 Kikwete: 2025 hakuna wa kuchukua fomu ya Urais ya kumpinga Samia Suluhu Hassan labda mambo yaharibike sana

    Kauli ya Rais wa Awamu ya 4 Dk. Jakaya Mrisho Kikwete haikuwa ya kubahatisha, huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025. Hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani, lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…