Mpo salama!
Watu wanalaumu tuu Bure. Oooh! Fomu Moja! Ooh! Sio Demokrasia. Ooh! Kwa nini Sasa!
Kipi hakieleweki?
Mnataka Fomu ziwe nyingi ili katafunua zipigwe sio! Nani ambaye hajui sisi ni Waafrika na tupo Afrika?
Kuchapisha Fomu nyingi kwenye uchaguzi ndani ya chama ni kuonja sumu...
Kauli ya Rais wa Awamu ya 4 Dk. Jakaya Mrisho Kikwete haikuwa ya kubahatisha, huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025.
Hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani, lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa...