Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa...
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD...
Wakuu kwema
Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini
DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024
Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo kwenye attachment yangu.
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu.
Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo!
Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA.
Jina : DEBORA CHARLES MIHO
Shule niliomaliza form six : PANDAHILL SECONDARY SCHOOL
Namba ya simu :
VODA: 0752321681
AIRTEL : 0695600497
Tafadhari atakae...
Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations?
Yes,
Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D
Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
Wanajamimi mwenzenu macho yananiuma. Halii hii inatokana na mimi kukesha siku nzima nikitafuta mwanafunzi aliyepata A kwenye somo la English katika shule ya Pandahili.
Hii shule siku za karibuni ilikuwa na kashfa ya mwanafunzi kupotea, hata hivyo imeyabutua matokeo hayo in genera kweli kweli...
Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.
Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na...
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six
Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu...
Samahan content haiendani na kichwa cha habari
Nauza polo shirts (form six) kwa jumla kuanzia piece 10 na kuendelea sh 11,500/=
Tunatuma mpaka mikoani
0713520180
Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu...
Nina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi.
Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa?
Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya tumbo.
Naombeni mwenye kufaham anijushe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.