Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC.
AV1 ni format ambayo imekubaliwa kutumiwa na makampuni makubwa kama vile Amazon, Facebook, Google, Amazon...