forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  2. Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  3. Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

    Habari wanajamvi, Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko. Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
  4. JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

    Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪 Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia...
  5. Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  6. Hodi hodi JamiiForums

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
  7. Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  8. Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  9. Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  10. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  11. Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

    Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June. Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki...
  12. Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  13. Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

    Salaam kwenu wanajukwaa. Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali. Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu...
  14. Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  15. E

    Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

    Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika. Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk. Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au...
  16. MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  17. M

    Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

    Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote...
  18. T

    JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  19. Niko addicted na JamiiForums

    Aisee humu JF Kuna nini. Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k. Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi Naipenda JamiiForums mno
  20. Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…