Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Desemba 10, 2023 alimuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo nchini inayofanyika Jijini Dar es Salaam.