Msajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni ambako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema.
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri...