Wafanyabiashara wa soko la Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumuondoa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Majimoto, Fraseck Mwakalenga kwa madai ya kukusanya kodi kiholela ikiwemo matumizi ya lugha za kukera.
Wakizungumza...