Wakuu,
Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu?
Ukifungua website ya bunge inaonesha huyu baba tangu mwaka 2020 kauliza maswali mawili tu.
Mtu kama huyu ana impact gani kwenye vikao...