Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje.
Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa.
Lakini pia waambieni wachezaji...
Simba Confirmed new Sign of Striker. Simba has strengthened its ranks by officially confirming the signing of a talented striker from the Green Eagles.
This player has gained recognition for his incredible goal-scoring ability, characterized by powerful shots and good headers.
His ability to...
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.
Tulianza kuona mwanga kuwa miradi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana wamepoteza maisha.
Ripoti imeeleza baada ya msako wa siku 17 bado imekuwa ngumu kufanikisha zoezi hilo na...
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar.
Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Hali ya Hewa imesema licha ya dhoruba kutoweka, bado Mvua kubwa...
Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi.
Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
Polisi nchini Malawi wamesema takriban watu 15 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na uharibifu uliosababishwa na dhoruba ya kitropiki Freddy.
Pamoja na kukatika kwa mawasiliano bado haijulikani ukubwa kamili wa uharibifu na idadi ya waliojeruhiwa.
Polisi wamesema watu...
Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari kusitisha kutoa huduma huku zaidi ya watu 171,000 wakiathiriwa.
Picha za satellite zinaonesha mvua...
Kimbunga hicho ambacho kimetokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita kinaendelea na kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi.
Kwa sasa kimbuga hicho kipo Kusini mwa Msumbiji na Pwani ya Madagascar kikiwa na kasi ya kilometa 160 kwa...
Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania.
TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo...
Kimbunga ambacho kimesafiri zaidi ya maili 2,500 katika Bahari ya Hindi kina uwezekano wa kufika Ukanda.
Kimbunga cha Tropiki Freddy kilifika katika Pwani ya Kusini ya Indonesia, mwezi huu Februari na kusababisha dhoruba kutokana na upepo mkali wa kasi ya 165 mph.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.