Habari wakuu?
Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa!
Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli hizo kama waziri mkuu msitaafu! Tofauti na wengine!
Hii imekaaje? Na yupo wapi?
Mzee Sumaye amesema hata yeye na mzee Mkapa waliipokea nchi ikiwa katika bali ngumu sana ya kiuchumi mwaka 1995 kama ambavyo Rais Samia ameipokea.
Sumaye amesema walipoanza kurekebisha Uchumi maisha yakawa magumu zaidi kiasi cha Rais Mkapa kuitwa Ukapa lakini baada ya Muda mfupi maisha...
Hizi ni salamu kutoka kwa gwiji la Siasa za Tanzania. Ametumikia chama tawala na aliongoza Chadema. Amezitoa salamu wakati Rais Samia Leo hii, akiwa ziara Mkoa wa Manyara.
Anasema kwa tathmini yake, hakuna wa kumuondoa SSH katika nafasi ya urais mpaka 2030.
Huyu ni mtu aliyekaa na akina pipoz...
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa.
Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.
Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM...
Habari!
Mimi napenda kuwauliza viongozi wa CHADEMA. Je, uamuzi wa haraka wa kuwapokea na kuwapa nafasi haraka viongozi hawa wanaolipwa na kulindwa na serikali mpaka kifo chao mliotoa wapi?
Kwanini mliwapa nafasi ndani ya CHADEMA haraka? Mliamini ikulu mtaingia kupitia hawa? Mlitaka kuongeza...
Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76.
Kulingana na taratibu za chama hicho...
Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA!
Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.