frederick sumaye

Frederick Tluway Sumaye (born 1950) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 28 November 1995 to 30 December 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Frederick Sumaye Waziri mkuu mstaafu yupo wapi?

    Habari wakuu? Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa! Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli hizo kama waziri mkuu msitaafu! Tofauti na wengine! Hii imekaaje? Na yupo wapi?
  2. J

    Sumaye: Rais Samia anafanya kazi kubwa ya kurekebisha Uchumi ndio sababu tunaipitia hii hali ngumu ya maisha lakini kwa muda mfupi

    Mzee Sumaye amesema hata yeye na mzee Mkapa waliipokea nchi ikiwa katika bali ngumu sana ya kiuchumi mwaka 1995 kama ambavyo Rais Samia ameipokea. Sumaye amesema walipoanza kurekebisha Uchumi maisha yakawa magumu zaidi kiasi cha Rais Mkapa kuitwa Ukapa lakini baada ya Muda mfupi maisha...
  3. Fredrick Sumaye: Samia ataongoza nchi mpaka 2030

    Hizi ni salamu kutoka kwa gwiji la Siasa za Tanzania. Ametumikia chama tawala na aliongoza Chadema. Amezitoa salamu wakati Rais Samia Leo hii, akiwa ziara Mkoa wa Manyara. Anasema kwa tathmini yake, hakuna wa kumuondoa SSH katika nafasi ya urais mpaka 2030. Huyu ni mtu aliyekaa na akina pipoz...
  4. B

    Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  5. J

    Mzee Sumaye: CCM hata ikifanya vizuri kwa 100% ikumbuke kuna siku Watanzania Wataichoka tu na kuweka chama kingine

    Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani. Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM...
  6. Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

    Habari! Mimi napenda kuwauliza viongozi wa CHADEMA. Je, uamuzi wa haraka wa kuwapokea na kuwapa nafasi haraka viongozi hawa wanaolipwa na kulindwa na serikali mpaka kifo chao mliotoa wapi? Kwanini mliwapa nafasi ndani ya CHADEMA haraka? Mliamini ikulu mtaingia kupitia hawa? Mlitaka kuongeza...
  7. Kwanini Sumaye na Mwambe waligombea kwenye Kanda zao na tena wanagombea Uenyekiti Taifa?

    Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
  8. Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  9. Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

    Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA! Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…