Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana.
Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama vilivyopigania uhuru kwenye nchi za kusini mwa Afrika vimeanza kukabiliana na vuguvugu la mageuzi...
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini dar es salaam! Mapambano makali wakisaidiwa na serikali ya Tanzania chini ya jemedari hayati mwalimu...
Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 6000 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane...
Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo
Imeelezwa kuwa Wananchi hao walichukua Silaha aina ya AK 47 na kuchoma majengo mengine zaidi...
Chama tawala cha Msumbiji, Frelimo, kimeendelea kushikilia madaraka katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu, na kuongeza utawala wake wa miongo mitano katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika, huku upinzani ukilalamikia udanganyifu.
Daniel Chapo, mwenye umri wa miaka 47, kutoka Frelimo...
Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani kama tu hapo Tanganyika. FRELIMO bado ina nguvu sana kama CCM.
# Waangalizi wa kimataifa wakiwemo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.
Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.