fremu ya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  2. F

    85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO. Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)". Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
  3. Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu. Natanguliza shukrani...
  4. M

    Nahitaji fremu Vingunguti

    Habari wakuu, Nahitaji fremu ya 50k ya ukubwa wowote hata kama ndogo sana maeneo ya vingunguti machinjioni mpaka kwa mnyamani, hela ya soda ipo.
  5. Sifa moja muhimu zaidi kuhusu kumiliki fremu za biashara kwa ajili ya kupangilia

    Kutengeneza kipato cha majengo ni moja ya njia ya kujenga utajiri. Njia hii ya kumiliki majengo ya biashara ya kupangisha imeonyesha ufanisi mkubwa kuwasaidia wengine kujenga utajiri. Kipato cha majengo ya biashara ni kizuri ukilinganisha na faida ya kununua na kuuza ardhi. Tofauti ya kipato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…