Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024.
Hadi sasa majeruhi wanne waliokuwa ndani ya fremu hizo wametolewa na jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...
Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli?
Yaani sasa hvi hakuna maeneo ya makazi na maeneo ya biashara, kila sehemu ni biashara tu mafremu yanajengwa...
Anonymous
Thread
fremuzamaduka
mipango miji
udhibiti ujenzi holela
ujenzi holela
ujenzi holela wa fremu
Hongera Waziri Kwa kukuona hili,na Ili kuweza kusimamia vizuri master plan za Miji Serikali Ianzishe Wakala au Mamlaka ya Kusimamia Upangaji Miji na Ardhi yaani Town Planning and Land Administration Authority..
Kiukweli Miji yetu inatia aibu na hasira sana yaani utadhani sisi sio binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.