fremu

Modthryth, Thryth ('strength', cf. Old Norse Þrúðr, the daughter of Thor), and Fremu are reconstructed names for a character who figures as the queen of King Offa in Beowulf.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  2. Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

    Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha! Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
  3. F

    85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO. Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)". Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
  4. F

    Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

    Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana {Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa}. MFANO (Kuna video Hapo chini). Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo. Bei...
  5. Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  6. L

    Fremu inapangishwa Gongo la Mboto, haina udalali

    Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika. Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5 -Ipo G/mboto kabisa Karibu na barabara ya kuelekea mjini pia Ina mazingira mazuri -Ipo juu ghorofa ya kwanza ni kubwa na nzuri...
  7. Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

    Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW Unaamua...
  8. Gharama ya kujenga fremu za biashara

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar Asante sana
  9. Kwa location ya fremu hii ya bure niuze hardware au chips

    Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu. 1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji) Advantage: -Connection ya mafundi na mimi...
  10. Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu. Natanguliza shukrani...
  11. Kodi ya Fremu alipe directly mmiliki wa Frem na sio mpangaji

    Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo. Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
  12. Kipi bora kati ya kuchukua Fremu ya elfu 30 eneo ambalo sio changanyikeni au elfu 50 sehemu iliyochangamka?

    Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated. Asanteni.
  13. Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
  14. Nimeshindwa kulipa kodi (VAT) kisa sijapanga fremu

    Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu. Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
  15. Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  16. Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  17. Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  18. D

    Fremu inapangishwa

    habari. kuna fremu inapangishwa maeneo ya bunju A barabaran awali ulikuwa inatumika kama maabara kwa sasa inapangiswa inahitaji 270 kwa mwezi na kodi ni meiz 6. ina luku yake panoja na choo pia ina jumla ya vyjmba vyumba 3. kazi kwenu wapambanaji inbox me plz
  19. Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…