fremu

Modthryth, Thryth ('strength', cf. Old Norse Þrúðr, the daughter of Thor), and Fremu are reconstructed names for a character who figures as the queen of King Offa in Beowulf.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii nchi kila kona fremu

    Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
  2. House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  3. Uchumi wa fremu, Framenomics

    Uchumi wa fremu (Framenomics, Frame + Economics=Framenomics), ndio uchumi halisi wa nchi hii. Uchumi wa kuagiza vitu na kuviuza. Kuimport na kuuza. Hakuna uzalishaji wa bidhaa au huduma wala hakuna exports. Changamoto ni nyingi sana, mipango, ardhi, mtaji, sheria za nchi, na umeme halafu Umeme...
  4. DOKEZO Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  5. Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

    Habari wandugu, Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii.. FREMU IPO KARIBU NA...
  6. Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  7. T

    Naomba kufahamu Gharama za ujenzi wa fremu za biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
  8. Fremu ya biashara, ina pangishwa-KCMC Mapipa road, Moshi-Kilimanjaro

    Habari , ✨✨✨✨✨ Nawaleteeeni fremu ya kupangisha mahususi kwa biashara yoyote ile mfano saluni ya kike , mgahawa wa chakula , duka , mini-market au any designed business Fremu ni kubwa kindani na ipo karibu na chuo cha KCMC yaani geti dogo unaliona ilo hapo , mida kama hii vyuo...
  9. Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  10. Ni bidhaa gani naweza kuziuza nikiwa na gari au Bajaji, Gari Duka

    Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
  11. Nahitaji fremu mtaa wa livingstone kwa ajili ya spea za gari

    Habari wakuu Mwenye kazi yake ,Nipigie kwa 0713 039 875 .Kodi hamna shida
  12. Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  13. Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

    Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
  14. Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
  15. Fremu inakodishwa Mbezi Luguruni bila dalali

    Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1. Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa ofisi/biashara yoyote mfano; medical laboratory, dispensary, pharamacy, micro finance, hardware, saloon, QT n.k...
  16. Wenye Akili tuliandika mno Kupinga Ujenzi wa hovyo wa 'Fremu Lugalo' tukapuuzwa, sasa hata Mama nae Boss wao 'wamekerwa' nao

    Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums. GENTAMYCINE...
  17. INAUZWA Nauza picha za kwenye frame na picha mbao

    TUMA PICHA KWA NAMBA ZETU 0683557564 UKITUMA LEO UNAPATA LEO. TUNAPATIKANA KIMARA KOROGWE DSM SIZE : A4 -15,000 SIZE : A3 -25,000 SIZE : A2 -40,000 SIZE : A1 -65,000
  18. Naomba kujua utaratibu wa kupata fremu na gharama zake Mwenge

    Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu. Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge. Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje? Ningependa kujua...
  19. A

    Mwanza: Harufu ya rushwa kuelekea ugawaji wa fremu stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo (mkoani Mwanza)

    Wanajamvi, Habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi. Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
  20. INAUZWA Kiwanja, Fremu na godown vinauzwa

    Luguruni Metres 500 kutoka Main Morogoro Road Eneo ni 25 kwa 30. Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo . Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo. Kwa maelezo zaidi piga 0682822649
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…